Aliyekua kiungo wa Barcelona Alex Song
amekamilisha usajili wake katika klabu ya Rubin
Kazan inayoshiriki ligi kuu nchini Urusi (Russia)
kama mchezaji huru.
Mchezaji huyo mwenye miaka 28 anahuyoga na
Rubin Kazan baada ya kuvunja mkataba wake na
Barcelona aliyojiunga nayo akitokea Arsenal.
Misimu miwili iliyopita Song alikua akicheza kwa
mkopo katika kikosi cha West Ham United
Posted: 👉👉 ⚽ Africa News Sports
Chapisha Maoni