Klabu ya Arsenal imemtoa kwa mkopo winga wake
Joel Campbell kwenda klabu ya Sporting Lisbon ya
Ureno.
Campbell alijiunga na Arsenal mwaka 2011 lakini
ameshindwa kupata nafasi ya kudumu kwenye
kikosi cha kwanza licha ya kuwa na kipaji cha hali
ya juu.
Mshambuliaji huyo wa Costa Rica mwenye umri wa
miaka 24 amewahi kutolewa kwa mkopo kwenda
vilabu vya Lorient, Real Betis, Olympiakos na
Villarreal.
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni