0

Everton imekamilisha usajiliwa wa kapteni wa
Wales, Ashley Williams kutoka kwa wapinzani wao
wa ligi kuu Swansea kwa gharama inayokadiliwa
kufikia Euro milioni 12.
Beki huyo mwenye umri wa miaka 31, ni mchezaji
wa tatu kununuliwa na meneja Ronald Koeman
baada ya kiungo wa Senegal Idrissa Gueye na
mlinda mlango Maarten Stekelenburg.
Everton pia inawanyemelea kiungo wa Crystal
Palace Yannick Bolasie na wa beki wa Sunderland
Lamine Kone.



Posted: 👉👉 ⚽ Africa News Sports

Chapisha Maoni

 
Top