Baada ya kuzomewa na mashabiki kwa
mechi mbili mfululizo kutokana na kutoka
sare ya 0-0 katika mechi zote, hatimaye
Brazil imeamka.
Imeitwanga Denmark kwa mabao 4-0 na
kutonga robo fainali ya Michezo ya
Olimpiki.
Kutokana na ushindi huo, kutoka kundi lao,
Brazil na Denmark zote zinasonga robo
fainali.
Brazil watakutana na timu nyingine ya
Amerika Kusini Colombia na Denmark
watawavaa Nigeria.
Denmark: Hojbjerg, Desler (Larsen 64),
Gomes, Gregor, Mathiasen,
Borsting, Maxso, Jonsson, Bruun Larsen,
Vibe, Brock-Madsen (Skov 45)
Subs not used: Fernandes, Rasmussen,
Laursen, Emil Larsen, Nielsen
Brazil: Weverton, Zeca, Marquinhos (Luan
84), Rodrigo Caio, Douglas Santos, Walace,
Renato Augusto (Rodrigo Dourado 79),
Gabriel, de Jesus Luan, Neymar, Gabriel
Jesus
Subs not used: Uilson, Rafinha, William,
Felipe Anderson.
Referee: Alireza Faghani
Posted: 👉👉 ⚽ Africa News Sports
Chapisha Maoni