Cristiano Ronaldo na Pepe wamerejea
mazoezini Real Madrid na kuungana na
wenzao.
Kocha Mkuu, Zinedine Zidane
amewakaribisha Wareno hao ambao
walipewa mapumziko zaidi baada ya
kuisaidia timu yao ya taifa kubeba ubingwa
wa Euro.
MECHI ZINAZOFUATA:
Jumanne, August 16: Stade de Reims (H -
kirafiki)
Jumapili, August 21 : Real Sociedad (A)
Jumamosi, August 27 : Celta Vigo (H)
Jumamosi, September 10 : Osasuna (H)
Posted: 👉👉 ⚽ Africa News Sports
Chapisha Maoni