0

Everton wamemsajili mchezaji wa kimataifa wa
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Yannick
Bolasie, kutoka Crystal Palace kwa pauni milioni
25.
Bolasie, 27, amecheza Palace kwa misimu minne
tangu alipowasili akitokea Bristol City mwaka 2012.
Amseaini mkataba wa miaka mitano. Alicheza
mechi 143 akiwa Palace na kufunga magoli 13.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top