Liverpool imeionyesha Arsenal si kitu kwake baada ya kuichapa mabao 4-3 licha ya
Arsenal kuwa nyumbani Emirates tena ikianza kufunga.
Arsenal ilikuwa ya kwanza kufunga bao kupitia kwa Theo Walcott dakika ya 30,
ambaye muda mchache alikosa mkwaju wa penalti. Dakika ya 45, Coutinho akasawazisha.
Adam Lallana akafunga dakika ya 49 huku Coutinho akiongeza bao la tatu dakika ya
56.
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni