0

Kuna uwezekano mkubwa mlinda lango namba
moja wa Uingereza Joe hart akatimka Manchester
City baada ya kuwekwa bench ya Pep Guardiola,
kocha wa timu hiyo.
Guardiola amebainisha kuwa anahitaji mlinda lango
ambaye ni 'sweeper-keeper', yule atakayemudu
mfumo wa uchezaji wa timu yake.
Amesema Hart hatamudu mfumo huo. Vyombo vya
habari nchini Hispania vimeripoti kuwa huenda
Bravo au Te Stegan wa FC Barcelona mmoja wao
akasajiliwa na Manchester City.
Everton wanadaiwa kuonyesha nia ya kumtaka Hart
kwa mkopo, huku Sevilla nayo ikidaiwa kuvutiwa
nae pia.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top