0

Kamati ya Olimpiki ya Marekani imeomba radhi
kwa raia wa Brazil kwa kile walichosema jambo
lisilokubalika la waogeleaji wa Marekani waliodai
kuwa waliiibiwa huko Rio.
katika taarifa yake timu hiyo ya Marekani imesema
kwa jinsi wanavyolifahamu tukio hilo mmoja wa
waogeleaji aliharibu choo kwenye moja ya vituo
vya mafuta.
Polisi wa Rio wanasema mmoja wa waogoleaji hao
alikubali kuwa taarifa kuwa walivamiwa na kuibiwa
hazikuwa za kweli.
Wawili kati ya waogeleaji hao waliohojiwa na polisi
na hawakuruhusiwa kuondoka kutoka mjini Rio.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top