Mwanariadha wa Afrika Kusini Caster Semenya
amefika fainali ya mbio za mita 800m wanawake
ambazo zitafanyika Jumapili.
Semenya, 25, aliyeshinda fedha Olimpiki za
London 2012, aliandikisha muda wa dakika moja
na sekunde 58.17 kushinda kundi lake la
nusufainali.
Mkenya Margaret Wambui pia alifika fainali muda
wake nusufainali ukiwa 1:59.66
Mwingereza Lynsey Sharp pia alisonga, muda
wake ukiwa 1:58.65, lakini Mwingereza mwingine
Shelayna Oskan-Clarke hakufanikiwa.
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni