Kenya imeng'ara tena baada ya mwanariadha wake
Faith Kipyegon kunyakua dhahabu ya tatu kwa ajili
ya Kenya katika mbio za mita 1500 wanawake.
Kwa upande wa wanaume Mjamaica Omar McLeod
naye alinyakua dhahabu ya mita 110 wanaume.
Leo baadaye pia tunategemea kuwaona tena
wakenya Kipruto Conseslas, Ezekiel Kemboi na
Brimin Kiprop pamoja na Jacob Araptany kutoka
Uganda wakishiriki mbio za mita 3000 za kuruka
maji na vihunzi.
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni