0

Klabu ya soka ya Inter Milan imeweka rasmi kuwa Frank de Boer ndiye atakuwa
kocha wao mpya! Amesaini mkataba wa miaka mitatu na ameainisha mipango yake maalum ambayo itasaidia
kuirejeshea heshima klabu hiyo.
Kocha mpya De Boer amechukua mikoba ya Roberto
Mancini ambaye alilazimika kuondoka klabuni hapo kufuatia mambo kumuendea vibaya msimu uliopita
pamoja na kwenye michezo ya
maandalizi ya msimu huu.
Icardi De Boer amesisitiza suala la kutokuwa tayari kumuuza Mauro Emanuel Icardi
Rivero ambaye ni mshambuliaji kutoka nchini Argentina!



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top