B ARCELONA imezianza mapema fujo za
kuutetea ubingwa wake wa La Liga iliyoutwaa
msimu uliopita baada ya usiku huu kuibamiza
Real Betis kwa mabao 6-2 katika mchezo safi
ulichezwa katika dimba la Uwanja wa Camp
Nou,Barcelona.
Mabao ya Barcelona yamefungwa na Luis
Suarez aliyefunga mabao matatu (hat-trick)
(42' , 56 ',82 '),Lionel Messi aliyefunga mabao
mawili (37,57) na Arda Turan aliyefunga bao
moja (6)'.
Mabao yote mawili ya Real Betis yamefungwa
na Ruben Castro katika kipindi cha kwanza na
cha pili (21,84)
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni