0

Mabingwa wa Premia Ligi msimu uliopita Leicester
City wametoshana nguvu na Arsenal kwa kutoka
suluhu ya 0-0.
Timu hizo ambazo zote zilipoteza michezo yake
ya kwanza, zimeshindwa kufungana licha ya kila
timu kutengeneza nafasi kadhaa za kufunga.
Leicester watahisi kuonewa zaidi kwa kunyimwa
mkwaju wa penati wa dhahiri baada ya Ahmed
Mussa kuangushwa kwenye 18 ya Arsenal wakati
mchezo huo ukielekea ukingoni.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top