0

Livepool imelazwa
mabao 2-0 na Burnley katika mchezo wa Premia
Ligi uliopigwa leo Jumamosi.
Wiki iliyopita Liverpool ilionyesha kiwango cha hali
ya juu ikiifumua Arsenal mabao 4-3 kwenye dimba
lake la Emirates.
Leo imechapwa kiulaini na vijana wa Burnley
waliopanda daraja msimu huu.
Wakati Liverpool ikichechemea, Chelsea
imenusurika na kipigo kutoka kwa Warford baada
ya kupata ushindi kwenye dakika za majeruhi.
Hadi dakika ya 86, Chelsea ilikuwa nyuma lakini
ilisawazisha muda mfupi baadae kupitia kwa
Batshuay kabla Costa hajafunga la pili kwenye
dakika za majeruhi.
Matokeo ya michezo mingine iliyopigwa leo ni
kama yanavyoonekana hapo chini.




Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top