Mwanariadha Usain Bolt
akishangilia baada ya
kushinda Medali ya Dhahabu
ya mbio za mita 400 katika
Olimpiki ya Rio 2016. Hiyo
inakuwa Medali ya tatu ya
dhahabu kwa Bolt, baada ya
awali kushinda katika mita
100 na 200, hivyo kurudia
mafanikio ya Olimpiki za
Beijing 2008 na London 2012
aliposhinda Medali zote hizo
tatu za dhahabu katika mbio
hizo, Mwanariadha huyo
mwenye umri wa miaka 30
jana alikimbia mbio zake za
mwisho mjini Olimpiki ya
2016
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni