Katika mwendelezo wa maandalizi ya kujiandaa na
msimu mpya, Liverpool jana imefanikiwa kuitungua
FC Barcelona mabao 4-0 katika michuano ya
International Champions Cup.
Sadio Mane aliyesajiliwa na Liverpool akitokea
Southampton ameifungia timu hiyo bao lake la
kwanza wengine waliopachika mabao ni Divock
Origi na Marko Grujic huku Mascherano akijifunga.
Barca ilianza na kikosi chake kamili
kilichowajumuisha Luis Suarez na Lionel Messi.
LIVERPOOL: Mignolet, Clyne, Lovren, Klavan. Milner
(Moreno 42), Lallana (Henderson 45), Can (Stewart
45), Wijnaldum (Grujic 73), Mane (Markovic 72),
Firmino (Ings 73), Coutinho (Origi 45)
Subs not used: Manninger, Brannagan, Matip,
Wisdom, Randall, Alex-Arnold
Goals: Mane 15, Mascherano og 46, Origi 50,
Grujic 90
BARCELONA: Ter Stegen (Bravo 45), Vidal (Roberto
45), Mascherano (Pique 60), Mathieu, Camara
(Digne 60), Suarez (Ligero 75), Busquets (Iniesta
60), Turan (60), Messi (Mujica 75), Suarez (Samper
75), Munir
Subs not used: Douglas, Vermaelen, Masip
Posted: 👉👉 ⚽ Africa News Sports
Chapisha Maoni