Hivi ndivyo baadhi ya mataifa ya Afrika
yalivyoorodheshwa katika jedwali la medali katika
michezo ya Rio de Janeiro iliokamilika.
Baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa
katika jedwali la medali katika michezo ya Rio
iliokamilika.
KENYA ilikuwa katika nafasi ya 15
DHAHABU:
Jemima Sumgong - Marathon ya wanawake
David Rudisha - Mita 800 wanaume
Faith Kipyegon - Mita 1500 wanawake
Conseslus Kipruto -Mita 3000 wanaume kuruka
viunzi na maji
Vivian Cheruiyot - Mita 5000 wanawake
Eliud Kipchoge - Marathon wanaume
FEDHA:
Paul Tanui - Mita 10,000 wanaume
Vivian Cheruiyot - Mita 10,000 wanawake
Hyvin Kiyeng - Mita 3,000m kuruka viunzi na
maji-wanawake
Boniface Mucheru Tumuti - Mita 400m kuruka
viunzi-wanaume
Hellen Obiri - Mita 5000-wanawake
Julius Yego - Kurusha mkuki-wanaume
SHABA:
Margaret Wambui - Mita 800-wanawake
(Alipokonywa medali -Ezekiel Kemboi - Mita 3000
kuruka viunzi na maji
AFRIKA KUSINI ilikuwa katika nafasi ya 30
DHAHBU:
Wayde van Niekirk - Alivunja rekodi ya dunia-Mita
400-wanaume
Caster Semenya - Mita 800-wanawake
FEDHA:
Cameron Van Der Burgh - Mita 100 Breaststroke-
wanaume
Chad Le Clos - Mita 200m Freestyle-wanaume
Lawrence Brittain & Shaun Keeling - Kupiga
makasia-wanaume
Chad Le Clos - Mita 100 Fly- wanaume
Luvo Manyonga - Long Jump- wanaume
Sunette Viljoen - Kurusha mkuki-wanaume
SHABA:
Rugby Sevens - Wanaume
Henri Schoeman - Triathlon -Wanaume
ETHIOPIA ilikuwa katika nafasi ya 44
DHAHABU:
Almaz Ayana - Mita 10,000 wanawake - Rekodi ya
dunia
FEDHA:
Genzebe Dibaba - Mita 1500- wanawake
Feyisa Lilesa - Marathon -wanaume
SHABA:
Mare Dibaba - Marathon- wanaume
Tamirat Tola - Mita 10,000 -wanawake
Tirunesh Dibaba - Mita 10,000- wanawake
Almaz Ayana - Mita 5000- wanawake
Hagos Gebrhiwet - Mita 5000- wanaume
IVORY COAST ilikuwa katika nafasi ya 51.
DHAHABU:
Cheick Sallah Cisse - Taekwondo-Wanaume chini
ya kilo 80
SHABA:
Ruth Gbagbi - Taekwondo- Wanawake chini ya kilo
67
ALGERIA equal 62nd on overall Medal table:
FEDHA:
Taoufik Makhloufi - Mita 800- wanaume
Taoufik Makhloufi - Mita 1500- wanaume
BURUNDI ilikuwa ya 69
FEDHA:
Francine Niyonsaba - Mita 800-wanawake
NIGER ilikuwa katika nafasi ya 69
FEDHA:
Abdoulrazak Issoufou Alfaga-Taekwondo-wanaume
chini ya kilo 80
MISRI ilikuwa katika nafasi ya 75
SHABA:
Sara Ahmed - Kubeba uzani kilo 69
Mohammed Mahmoud - Kubeba uzani kilo 77
Hedaya Wehaba -Taekwondo wanawake kilo 57
TUNISIA ilikuwa katika nafasi ya 75
SHABA:
Ines Boubakri - Fencing- Wanawake
Marwa Amri - Miereka -Wanawake kilo 58
Oussama Oueslati - Taekwondo -wanaume chini
ya kilo 80
MOROCCO ilikuwa nafasi ya 78
SHABA:
Mohamed Rabii - Masumbwi uzani wa
Welterweight
NIGERIA ilikuwa katika nafasi ya 78
SHABA
Timu ya kandada ya -wanaume
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni