0

Mshambuaji wa Kimataifa kutoka Tanzania Mbwana
Samatta ameendelea kufanya vyemma kwenye ligi
ya Ubelgiji baada ya kufunga magoli magoli mawili
wakati Genk ikishinda ugenini kwa magoli 3-0
dhidi ya Lokeren.
Samatta alianza kufunga goli la kwanza dakika ya
34 kipindi cha kwanza kabla ya kufunga bao
jingine dakika nne baadaye.
Bao la tatu la Genk limefungwa na Leon Bailey
dakika ya 48 kipindi cha pili na magoli hayo
yakidumu kwa dakika zote.
Samatta alipumzishwa dakika ya 73 kumpisha
Nikos Karelis.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top