0

Siku chache baada ya kusajiliwa na
Manchester United kutoka Juventus ya
Italia kwa ada ya paundi milioni 89 kwa
mkataba wa miaka mitano, Paul Pogba,
amekabidhiwa jezi namba 6!
Hii ni jezi ambayo pia alikuwa akivaa
zamani alipokuwa Juventus kabla ya
kupewa jezi namba 10.



Posted: 👉👉 ⚽ Africa News Sports

Chapisha Maoni

 
Top