0



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Leo akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza na maeneo ya kanda ya ziwa katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha eneo la Kirumba jijini
humo.








Huu ni umati mkubwa wa wananchi walio jitokeza leo  ukiwa umefurika kwenye viwanja vya Furahisha jijini Mwanza wakimsikiliza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli



Posted: ���� ⚽ Africa News Sports


Chapisha Maoni

 
Top