0

Mwanariadha raia wa Kenya amedhihirisha
umwamba wake baada ya kushinda mbio za mita
800 huko Rio De Jeneiro nchini Brazil usiku wa
kuamkia leo.
Mwanariadha huyo mwenye miaka 27 ameonyesha
uzoefu wake katika mbio ambapo baada ya kuwa
nyuma alianza kuwapita wenzake katika mzunguko
wa mwisho na hata Mkenya mwenzake Alfred
Kipketer na kukamilisha mbio hizo kwa dakika
moja na sekunde 42.15
Naye Mualgeria Taoufik Makhloufi alishika nafasi
ya pili na kujinyakulia medali ya fedha kwa
kukimbia kwa dakika moja sekunde 42.61.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top