0
Timu ya Arsenal imeendelea na vita yake ya kupambana kupata nafasi ya Top Four katika Ligi Kuu England baada ya kuichapa Leicester City kwa vao 1-0 katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Emirates jijini London, leo.
Bao la Arsenal limepatikana dakika ya 86 baada ya beki Robert Huth wa Leicester kujifunga wakati akijaribu kuokoa.
Hata hivyo, Arsenal ilitengeneza nafasi
nyingi za kufunga lakini umekini wa kipa
wa Leicester au washambulizi wake
kutokuwa makini ulichangia kutopata
mabao.

Chapisha Maoni

 
Top