Lionel Messi ameonyesha hakubahatisha katika mechi ya El Clasico dhidi ya Real Madrid kwa kupiga mabao mawili. Leo amepiga mbili tena wakati Barcelona ikiitwanga Osasuna kwa mabao 7-1.
Wakati amepiga mabao mawili, Andre
Gomes naye ametupia mbili na Francisco Alcacer naye akatupia mbili na kukamilisha hesabu ya mabao sita.
Lakini beki kisiki raia wa Argentina, Javier Mascherano, naye amepiga moja
kukamilisha hiyo hesabu ya wiki.
Chapisha Maoni