Emerick Aubameyang
wakipongezana baada ya
wote kuifungia Borussia
Dortmund katika ushindi wa
3-2 ugenini dhidi ya Bayern
Munich katika Nusu Fainali
ya Kombe la Ujerumani usiku
wa jana Uwanja wa Allianz
Arena, Munich. Reus alifunga
la kwanza dakika ya 19,
aubameyang la pili dakika ya
69 na la tatu lilifungwa
na Ousmane Dembele dakika
ya 74, wakati ya Bayern
yalifungwa na Javi Martinez
dakika ya 28 na Mats
Hummels dakika ya
41
Chapisha Maoni