0
Basi la wachezaji wa Borussia Dortmund
limeshambuliwa na imeelezwa kumekuwa na milipuko si mikubwa sana.
Milipuko hiyo imesababisha beki Marc
Bartra kuumia na kupatiwa matibabu baada ya kuumizwa na vioo.
Hali hiyo imesababisha mechi ya Ligi ya
Mabingwa Ulaya kati ya Dortmund dhidi ya Monaco, kusogezwa leo Jumatano badala ya Jumanne.
Mechi hiyo sasa itachezwa leo Jumatano lakini itakuwa mapema zaidi.

Chapisha Maoni

 
Top