kushangilia baada ya
kuifungia Crystal Palace bao
la kwanza dakika ya saba
Uwanja wa Selhurst Park,
London akimalizia krosi ya
Wilfried Zaha usiku wa jana
katika mchezo wa Ligi Kuu
ya England. Palace ilishinda
3-0 mabao mengine
yakifungwa na Yohan Cabaye
dakika ya 63 na Luka
Milivojevic dakika ya 68 kwa
penalti baada ya Townsend
kuangshwa kwenye boksi la
Arsenal
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.