Manchester City imebanwa mbavu na Wolves katika mchezo wa Ligi Kuu England kwa matokeo ya sare ya 1-1.
Wolves walikuwa wa kwanza kujipatia bao la kwanza kupitia kwa Boly aliyefunga mnamo dakika ya 57.
City walikuja kusawazisha baadaye kupitia kwa Laporte kwenye dakika ya 69 na kuufanya mchezo huo umalizike kwa matokeo hayo.
Chapisha Maoni