GRIEZMANN AWAPOKONYA POINT 3 REAL MADRID, BAADA YA KUTOKA SARE 1-1 BERNABEU 11:52 Unknown 0 Sport Headline A+ A- Print Email Antoine Griezmann akitelezakuiwahi pasi ya Angel Correakumtungua kipa KeylorNavas wa Real Madridkuisawazishia Atletico Madriddakika ya 85 katika sare ya1-1 kwenye mchezo wa LaLiga Uwanja wa Bernabeu.Real walitangulia kwa bao laPepe dakika ya 52
Chapisha Maoni