0
Fabian Delph akishangilia na
Leroy Sane baada ya
kuifungia Manchester City
bao la tatu katika ushindi wa
3-1 dhidi ya Hull City Uwanja
wa Etihad leo katika mchezo
wa Ligi Kuu ya England.
Mabao mengine ya City
yamefungwa na Ahmed El
Mohamady aliyejifunga
dakika ya 31 na Sergio
Aguero dakika ya 48, wakati
la Hull limefungwa na Andrea
Ranocchia dakika ya
85 

Chapisha Maoni

 
Top