
Watford kwa mabao 4-0 kwenye dimba lake la nyumbani la White Hart Lane.
Mpaka mapumziko ilikuwa mbele kwa mabao 3-0
yaliyofungwa na Dele Alli,Eric Dier na nyota wa mchezo wa leo Mkorea,Son Heung-Min aliyefunga
mabao mawili.
.
Ushindi huo umeifika ifikishe pointi 68 pointi nne nyuma ya vinara Chelsea wenye pointi 72 na mchezo mmoja mkononi.Pointi 14 zaidi ya
wapinzani wao wa jadi Arsenal wenye pointi 54.
Chapisha Maoni