Mesut Ozil baada ya wote
kuifungia Arsenal ikiwalaza
wapinzani wao wa London,
West Ham United mabao 3-0
katika mchezo wa Ligi Kuu
ya England usiku wa leo
Uwanja wa Emirates. Ozil
alifunga dakika ya 58, Walcott
dakika ya 68 wakati lingine
lilifungwa na Olivier Giroud
dakika ya 83
Chapisha Maoni