0
Alvaro Morata akipongezwa
na James Rodriguez baada
ya kuifungia mabao matatu
Real Madrid dakika za 18, 23
na 48 katika ushindi wa 4-2
dhidi ya wenyeji, Leganes
usiku wa jana Uwanja
wa Manispaa ya Butarque,
Leganes kwenye mchezo wa
La Liga. Bao lingine la Real
lilifungwa na Rodriguez
dakika ya 15, wakati ya
Leganes yalifungwa
na Gabriel dakika ya 32
na Luciano dakika ya
34 

Chapisha Maoni

 
Top