Mabingwa watetezi wa Ligi ya mabingwa barani Ulaya Real Madrid wametinga hatua ya fainali
kwenye michuano hiyo kwa kuiondosha mashindanoni Atletico Madrid mechi ya pili ya nusu fainali kwenye dimba la Vicente Calderon
nyumbani kwa Atletico Madrid.
Mpaka mwisho wa mchezo huo wa Rel Madrid iliweza kufungwa bao 2-1 lakini wakifanikiwa kuvuka baada ya matokeo mazuri ya wiki iliyopita ambayo yaliipa Real uahindi wa bao 3-0 hivyo kuvuka kwa ushindi wa jumla wa bao 4-2.
Dakika ya 12 tu Saul Niguez aliipaisha Atletico akifunga bao safi la kwanza kwa njia ya kichwa na
dakika 3 badae Antony Griezman aliipatia Atletico bao la pili lakini juhudi la Benzema zilisaidia
kupata bao la Real Madrid
Fainali za mwaka huu zitafanyika Cardiff ambazo ni kati ya Juventus na Real Madrid.
Atletico Madrid starting XI: Oblak, Gimenez, Savic, Godin, Filipe Luis, Koke, Gabi, Saul, Carrasco, Torres, Griezmann
Subs: Miguel Moya, Tiago, Correa, Lucas, Gameiro, Thomas, Gaitan
Real Madrid starting XI: Navas, Danilo, Sergio Ramos, Varane, Marcelo, Kroos, Casemiro, Modric, Isco, Benzema, Ronaldo
Subs: Casilla, Nacho, Rodriguez, Kovacic, Lucas, Marco, Morata
Chapisha Maoni