0

Mshambuliaji wa timu ya Sunderland Jermain Defoe, anatarajiwa kujinga na klabu ya Afc
Bournemouth kwa uhamisho wa bure.
Mshambuliaji huyu wa timu ya taifa ya England mwenye miaka 34 alijiunga na Sunderland mwezi
Januari mwaka 2015, na kufunga jumla ya mabao 15.
Defoe aliwahi kuichezea Bournemouth kwa mkopo
akiwa kinda katika msimu wa 2000- 2001, akitokea klabu ya West Ham United Uhamisho wa wa mshambuliaji huyu unaweza
kufanywa haraka na kutangazwa kwa mapema wiki hii.


Chapisha Maoni

 
Top