0
Kikosi cha Timu ya JKT Ruvu Tayari
kipo Mjini Mtwara kucheza mchezo
wa Mwisho wa Ligi Kuu Soka Tanzania
Bara dhidi ya Wanakuchele Ndanda
FC, katika Uwanja wa Nangwanda
Sijaona Jumamosi.
Akizungumza na mtandao huu,
Mkurugenzi wa Ufundi wa Klabu hiyo
Alhaj Abdalah King Kibadeni Mputa
amebainisha kwamba ni lazima
waibuke na ushindi katika mchezo
huo.
-Benchi la Ufundi tumejiandaa Kesho
lazima tuibuke na ushindi Hakuna
lugha nyingine zaidi ya Hiyo, Tunajua
ni kwa namna gani Mchezo huu ni
muhimu kwa Ndanda Lakini
watatusame' Alisema.
Hali ya Ndanda FC.
Taarifa Ya Klabu ya Ruvu JKT
imesema kwamba wachezaji wote
wapo katika Hali nzuri na Hakuna
Majeruhi hata mmoja kuelekea
mchezo hivyo hawana cha kujitetea
Kama watapoteza.
Ikumbukwe kwamba mchezo huu ni
wa muhimu kwa upande wa Ndanda
FC Kwani Kama watapoteza Basi
watashuka daraja Rasmi Huku JKT
Ruvu ukiwa ni Mchezo wa kulinda
Heshima Kwani tayari
wamekwishashuka Daraja.

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top