20, Mbrazil, Gabriel Jesus
akishangilia baada ya
kuifungia bao la ushindi
Manchester City kwa penalti
dakika ya 36 ikiwalaza
Leicester City 2-1 katika
mchezo wa Ligi Kuu ya
England leo Uwanja wa
Etihad. Bao lingine la City
limefungwa na David Silva
dakika ya 29 wakati la
Leicester limefungwa
na Shinji Okazaki dakika ya
42
Chapisha Maoni