Mwamuzi raia wa Ghana,
Daniel Nii Ayi Laryea amepewa jukumu la kupulizwa filimbi katika mchezo wa mwisho kati ya Serengeti Boys na Niger
utakaopigwa leo Jumapili kwenye
Uwanja wa Port Gentil nchini Gabon
Mwamuzi huyo atasaidiwa na waamuzi wasaidizi, Seydou Tiama wa Burkina Faso na Mamady Tere wa Guinea.
Serengeti Boys inashika nafasi ya pilikwenye kundi B ikiwa na pointi 4 na inahitaji sare kwenye mchezo huo ili kutinga hatua ya nusu fainali na kujikatia tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia zitakazopigwa nchini India mwezi Oktoba.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni