0
Kiungo Mkenya, Victor
Wanyama akishangilia baada
ya kuifungia bao la kwanza
Tottenham Hotspur dakika ya
sita katika ushindi wa 2-1
dhidi ya Manchester United
leo Uwanja wa White Hart
Lane kwenye mchezo wa Ligi
Kuu ya England. Bao la pili
limefungwa na Harry Kane
dakika ya 48 na la Mashetani
Wekundu limefungwa
na Wayne Rooney dakika ya
71 Spurs wakihitimisha
kuutumia Uwanja huo baada
ya 118. Spurs watahamia
kwenye Uwanja wa Wembley
msimu ujao kupisha
ukarabati kwenye White Hart
Laje hadi Agosti 2018

Chapisha Maoni

 
Top