Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Donald Dombo Ngoma amekubali kuongeza mkataba na klabu ya Yanga ambapo amesaini miaka miwil.
Hatua hiyo inamaliza Uvumi uliokuwepo awali kuwa mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 27 alikuwa amesaini na klabu ya Polokwane City inayocheza Ligi Kuu nchini Afrika kusini.
Utulivu
Kusaini kwa Ngoma kuna Leta Utulivu kambi ya Yanga ambapo awali kulikuwa na hali ya wasiwasi huku wachezaji wakutegemewa na timu hiyo wakitishia kuondoka, Tayari mchezaji Amis Tambwe amekubali kuendelea kuitumikia timu hiyo msimu ujao.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni