Mshambuliaji wa Sunderland, Fabio Borini anatarajiwa kutua Italia kukupiga kwenye klabu ya AC Milan ambako anakamilisha hatua za mwisho za kufanyiwa vipimo vya afya.
Mchezaji huyo mwenye miaka 26 alifanikiwa kufunga mabao mawili kwenye msimu ulioisha katika michezo 26 aliyocheza katika msimu ulioisha.
Pia, Borini amefanikiwa kufunga jumla ya mabao 16 katika mechi alizocheza kwa misimu mitano.
Hivyo akitua Milan atakabiliwa na mambo mawili; kwanza atapaswa kujihakikishia namba pia kuonyesha kwango cha kuvutia ili kujiongezea thamani kikosini na mvuto kwa mashabiki.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni