Hatimaye Chelsea yamalizana Bakayoko 09:49 Unknown 0 Transfer News A+ A- Print Email CHELSEA imethibisha kumsajili kiungo Tiemoue Bakayoko kutoka Monaco.Kiungo huyo amewaghalimu Blues pauni 40milioni na atakuwa akivaa jezi namba14, baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano na mabingwa hao wa Ligi Kuu England.
Chapisha Maoni