Kiungo wa kimataifa wa Misri, Mohamed Elneny akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya 44 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Western Sydney Wanderers Uwanja wa ANZ mjini Sydney. Mabao mengine ya Washika Bunduki hao wa London, yamefungwa na Olivier Giroud dakika ya 33 na Aaron Ramsey dakika ya 37, wakati la wenyeji limefungwa na Steven Lustica dakika ya 57
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni