0
Manchester City imezidi kujiimarisha katika safu ya ulinzi baada ya kumwaga dau kubwa la pauni million 50 kumnasa beki wa kulia wa Tottenham, Kyle Walker.
Beki huyo ambaye anakipiga timu ya taifa ya England pia, ametua Man City na kusema anavutiwa na kazi ya Kocha Pep Guardiola.
Tayari Walker aliishaichezea Tottenham mechi 228 akiwa White Hart Lane kwa miaka nane mfululizo.

Chapisha Maoni

 
Top