Gonzalo Higuain akiwa amepozi na jezi ya AC Milan kuelekea kufanyiwa vipimo vya afya kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa mkopo wa muda mrefu wa msimu timu hiyo kutoka Juventus, zote za Italia. Juve inamuacha Higuain baada ya kumnunua Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo kwa Pauni Milioni 100 kutoka Real Madrid ya Hispania
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni