ameteuliwa kuwa Nahodha Msaidizi wa
Tottenham Hotspur, chini ya Mfaransa
Younes Kaboul. Mfaransa huyo ameiongoza Spurs mara kadhaa msimu huu kama nahodha wa mechi
na sasa kocha Mauricio Pochettino amempa moja kwa moja beji hiyo akirithi mikoba ya beki Michael Dawson, aliyehamia Hull City
mwezi uliopita.
Adebayor atakuwa Nahodha Msaidizi pamoja na kipa Hugo Lloris.
Chapisha Maoni