
watashiriki msimu huu.
Klabu hiyo inazindua jezi hizo kuelekea
kwenye mchezo wake wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich Jumatano na zitatolewa rasmi kwa ajili ya mashabiki kuanzia Septemba 25.
Taarifa ya City kwa vyombo vya habari,
imesema: "Chini ya wingu la kiza hizi jezi
zinaonekana zinawaka, kama zinatiwa nguvu ya betri na zitatoa mwangaza fulani wa rangi
uwanjani,".
Chapisha Maoni