Uwanja huo mkongwe unatarajiwa kuongezwa kutoka watu 44,000 wanaoingia sasa hadi 54,000.
Ruksa hiyo inatakiwa kutolewa na kitengo cha usanifu wa majengo ndani ya Manispaa ya jiji la Liverpool.
Imeelezwa hadi kufikia Septemba 23, Manispaa ya jiji kupitia kitengo hicho itakuwa imetoa “go
ahead”. Iwapo itapata ruksa, imeelezwa Liverpool itaanza kazi ya ujenzi kati ya Desemba mwaka huu na
Januari, mwakani.
Chapisha Maoni