0
Diamond Platnumz amewabwaga Davido, Awilo Longomba, Willy Paul Msafi (Kenya) na Eddy Kenzo wa Uganda na kushinda kipengele cha
‘mtumbuizaji bora wa Afrika – Best African Entertainer kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards).

“It always seems impossible until it’s Done!… ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba #MdogoMdodo ndio nyimbo bora yenye Mahadhi
ya Kiafrika na Kijana wenu Diamond ndio
M’burudishaji bora wa Mwaka kwenye tunzo hizi za #IRAWMA zilizofanyika nchini Marekani 04|10| 2014….. Asanteni sana sana…hakika Umoja ni
nguvu, tuhamieni kwenye nyingine sasa,” ameandika msanii huyo kwenye Instagram.

Chapisha Maoni

 
Top