Kiungo wa zamani wa Manchester United, Shinji Kagawa (kulia) akigombea mpira na mchezaji wa Galatasaray, Felipe Melo katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu nchini Uturuki. Borussia Dortmund
imeshinda 4-0, mabao ya Aubameyang
dakika ya sita na 18, Reus dakika ya 41 na Ramos dakika ya 83.
Chapisha Maoni